top of page
Abstract Background
Search

Hesabu ya Hatima yako(The Math of Destiny) kitabu chenye majibu ya maisha ya Obadiah Mutua

  • Writer: Leo Nzali
    Leo Nzali
  • Mar 9
  • 1 min read

Obadiah Mutua ni mzaliwa wa kijiji cha Riakanau jimbo la mashairiki la mlima Kenya, kutoka kabila la wakamba kutoka nchini Kenyaa, ambaye aliahamia Marekani May 2007 na kujiunga na jeshi la Marekani , na ametumikia jeshi kwa muda miaka 18 na nusu, na kustaafu mwaka huu.


katika hadithi ya msataafu huyu ambaye ameandika historia ya maisha yake mpaka kufika hapa katika kupanda na kushuka katika maisha akitoka nyumbani kwao Kenya na kuhamia nchini Tanzania ambako alitumika kama Missionary na kuhubiri injili..



Obadiah Mutua akielezea kilicho pelekea kuandika kitabu cha Hesabu ya hatima yako (the Math of destiny)
Obadiah Mutua akielezea kilicho pelekea kuandika kitabu cha Hesabu ya hatima yako (the Math of destiny)

Akizindua kitabu hicho juzi katika kongamano la 12 la Umoja International Prayerline Dallas Texas amesema kitabu kimebeba na kufundisha mambo ambayo yatakutia moyo na kutambua hatima yako katika maisha ambayo kimsingi Mungu kaiweka kwa kila mtu.


Bw. Obadiah Mutua akiwa na picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini marekani Dkt. S. Kanza ambaye alikuwa mgeni rasmi kwatika kongamano hilo
Bw. Obadiah Mutua akiwa na picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini marekani Dkt. S. Kanza ambaye alikuwa mgeni rasmi kwatika kongamano hilo

 
 
 

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
Nala get $10.png
137092063_4184719214890090_5004613881637175391_n.0.jpeg
social media flyer copy.png
NZALI.jpg

Leo Nzali (nzalinextlevel)

Journalist, Producer and Graphics Designer of this magazine The Diaspora also DallasGospel magazine..
Keep following our pages for more information about the diaspora

Let the posts come to you.

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • Pinterest

Call 

214-971-0534 

Email 

Follow

  • Facebook
  • Twitter
  • LinkedIn
  • Instagram
bottom of page